Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kupitia kwako nimejifunza kuwa Tanzania ni nchi nzuri na tumebarikiwa mno. Ikiwezekana nitapenda kutembelea hifadhi hizi kwa wingi kadri inavyowrzekana. Tuombe uzima [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Mkuu tunabahatika kusafiri mara kwa mara ni kweli unachosema nchi hii imebarikiwa sana tena sana sijui umasikini unatokea wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…