cherie neisha
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 3,873
- 20,705
Amsterdam
Safi, mambo vipiHabari wooote
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] hii vita haitaacha mtu salamaNahisi kama umeumbwa kwa ajili yangu napata hisia za ajabu nikiona jina lako
Wananchi wanapenda amani. Ukiona mtu ambaye hapendi amani basi huyo lazima atakuwa anafaidika na ukosefu huo wa amani...War Lords...Tutoe wito kwa wananchi wote, kuwa amani ni jambo jema
We mbaguzi aisee!Nataka likes za wadada tuuu!
Awamu ya nne Mwenye Enzi Mungu ata deal nao juu kwa juu! Mama TANZANIA AMEAMKA na anadai mali zake zote!Mi nimepitia vichwa tu. Habari inayobamba ni vichwa vya treni vilivyotelekezwa bandarini. Mafisadi naona walishapiga pesa ndefu sasa wanaogopa hata kuyachukua kwa sababu upepo wa sasa si rafiki kabisa kwa upigaji.
HahaaVipi? Umenihurumia eeh? Wanawake wakianza kuteka wanaume na kwenda nao mahali "kupumzika" nakuhakikishia hiyo sehemu itajaa mijibaba ikisubiri kutekwa. Kwa wanawake kweli Mungu Alituweza.
HahahahaWe mbaguzi aisee!
ItalyVienna
Alizeti, sunflower oilMafuta ya....