Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mi nimepitia vichwa tu. Habari inayobamba ni vichwa vya treni vilivyotelekezwa bandarini. Mafisadi naona walishapiga pesa ndefu sasa wanaogopa hata kuyachukua kwa sababu upepo wa sasa si rafiki kabisa kwa upigaji.
Awamu ya nne Mwenye Enzi Mungu ata deal nao juu kwa juu! Mama TANZANIA AMEAMKA na anadai mali zake zote!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…