Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwanza tuelewane sitaki muanzee ooh kuna GB whatsapp cjui nni GB kwa sasa imeingiliwa na virus ukiweka set zaidi ya 4 inacorrupt hata txt zinachelewa kwenda hata hii Yo whatsapp imetengenezwa kwa kucheki mapungufu ya GB whatsapp ivo ni akili yako kujiongeza ipi kali

Download Yo whatsapp app ya kijanja kama ulikuwa hutumii ijue
Sifa yake

Mtu akifuta text we utaiona
Utaweka rangi unayoitaka
Utaficha last seen au utagandisha hata ukiwa online haitaonesha kama upo online
Kusoma txt bila mtu kujua
Utasave status za watu au kuzidownload

Download kupitia hapa
Yo whatsapp new version 7.70
I'm, transparent, no Kona Kona. Nothing to hide, to no one . I'm clean and open.

NO NEED.
 
Hawa injini ziko on. Wakifikishana faragha mpapurano wake sipati picha [emoji16][emoji16][emoji16]
IMG_20181027_134835_202~2.jpeg
 
Walimu wa Kiswahil huwa wanakutana na changamoto kubwa sana wanaposahihisha mitihani ya wanafunzi wao,ona hii:
Swali: Eleza hatua za kuandaa hotuba.
Mwanafunzi bila kujua hotuba ni nini akajibu hivi:
-kwanza ioshe hotuba yako vizuri kisha imenye.
-katakata hotuba yako.
-washa moto na uweke sufuria.
-weka hotuba kwenye sufuria na katia kitunguu kisha uweke na nyanya.
-
-baada ya dakika tano toa hotuba kwenye moto na uandae.
-unaweza kula hotuba yako na ugali ama chapati [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ukipata mwanaume akiwa na mwavuli kukinyesha huyo n Ako na kaumama[emoji16][emoji16][emoji16]Real men hunyeshewa wakiwa wamerusha mikono kwa mifuko waki scratch balls[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom