moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]Usinikumbushe JKT Makutupora. Nakuomba sana [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]Usinikumbushe JKT Makutupora. Nakuomba sana [emoji16][emoji16][emoji16]
Muhindi lazima afe leo..[emoji16] [emoji16] [emoji16]Barcelona piga hao Madrid,,,tatu znatosha
Hawajaligi. Kuna samaki mmoja ana sumu balaa yaani wakati wa kumtoa utumbo wake ukikosea tu maji ya tumboni yakamdondokea wote mtakaomla kazi kwisha. Njemba zinakwenda kujifunza jinsi ya kumuandaa kwa miaka 3+ na kibakuli kidogo tu cha supu yake ni dola 500+. Wachina "siyo watu" [emoji16][emoji16][emoji16]Na Sumu zake hizo....
Nimeiba kwa matumizi ya kusuntia watu hahahahaTuvimbaumbau twingine bwana shida tupu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
View attachment 914198
Hawajaligi. Kuna samaki mmoja ana sumu balaa yaani wakati wa kumtoa utumbo wake ukikosea tu maji ya tumboni yakamdondokea wote mtakaomla kazi kwisha. Njemba zinakwenda kujifunza jinsi ya kumuandaa kwa miaka 3+ na kibakuli kidogo tu cha supu yake ni dola 500+. Wachina "siyo watu" [emoji16][emoji16][emoji16]
Leo nipo barcelona[emoji23][emoji23][emoji23]