Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Fanya kila kitu vizuri
Namna unavyotumia vikolozo vyako vya uzuri kwa namna inayostahili ndivyo utakavyopata matokeo unayoyataka.
Mathalani fanya kama wanavyofanya watu wa saluni unapoenda kutengeneza nywele utaona kwamba shampoo haimwagwi kichwani bali inatiwa katika mikono na kupelekwa kichwani mwako kama kusikasuka.
Fanya masaji ya nywele wakati unatengeneza nywele halafu osha vyema na nyanyua nywele zako mpaka zinakubaliana na wewe.
 
Mradi wa ulimbwende
Jisikie bomba, jisikie maridadi , ukijisikia mbaya ujue ndivyo dunia itakavyokuona na ukijisikia bomba ndiyo dunia itakuona bomba.
Marafiki wanaofaa
Wanachosema watu kama kwa makusudi au la ni dhahiri hukusaidia kujisikia vyema au vibaya, tafuta marafiki wanaokufanya ujisikie vizuri si wale wanaokufanya utake kujua.
 
Uko sawa kabisa. Shida sasa ni huko vijijini unakuta vijana wa rika moja mnalala group moja hata sita au kumi. Mmoja tu akiwa nao hao jamaa basi anawagawia wote na zoezi linarudi upya. Kujikuna kichwani ngwaa ngwaaa...Na ukizubaa wanaweka makazi mpaka nguoni...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jamani haya maisha hayaa
 
Jisikilize
Jisikilize mwenyewe kwani hicho ndiyo hasa kitakachokufanya ujisikie vyea na kuendelea na mambo yako vyema. Kujisikia kunasuuza sana akili, tafuta muda wa kujisikiliza mwenyewe hiki ni kipindi cha kuona mambo yalivyo.
 
Rushwa ya ngono [emoji116][emoji116][emoji116]
****************************
A boss has to interview 4 girls for a secretary position.....He asked the same question to each one of them.

Boss: "A woman normally has lips in 2 different places. What's the difference between the two?

First Girl: "one is hairy, the other isn't " .....Boss: "OK.. good!"

Second Girl: "one can talk but the other can't ".... Boss: "that's better!"

Third Girl: "one is vertical & the other is horizontal "..... Boss: "Hmm.. clever!"

Last Girl: "one is for me & the other is for my Boss ".

Boss: "you are hired!![emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji1787][emoji1787]
 
Jipumzishe
Angalau mara mbili pumzika kwa dakika tano kuangalia make up yako, nywele pozi na nguo hata kama umeamkaje ni vyema kujitazama kuona kama uko bomba kama ulivyotoka nyumbani.
 
Hakuna raha kama kuwa na midomo (lips) zenye kuvutia tena ikiwa katika namna ambayo kila moja anaitamani kuiangalia na hata kuibusu.
Lips nzuri zina nafasi yake katika maisha ya mwanamke kwani anakuwa mwenye kujiamini tofauti na mtu ambaye anakuwa na midomo mikabu ambayo imekuwa ikipasuka mara kwa mara.
Kuna njia nyingi za kutunza Lips ikiwemo zile za kiasili na hata za kisasa lakini yote hayo hutegemea na matakwa na hata uwezo wa mhusika.
 
Kumekuwa na hali mbalimbali ambazo hupelekea midomo kuwa mikavu, kukatika na hata kuchubuka na kuwa na ngozi nyekundu.
Kinachoonekana zaidi ni kuwa watu wengi hawatilii sana maanani juu ya utunzaji wa midomo licha ya kuwa kuna wakati midomo inakauka au kupasuka pasuka hasa wakati wa baridi.
Midomo imekuwa ikitunzwa kwa njia za asili ikiwemo kupaka Glycerin hali inayochangia kulainisha ngozi za mdomo na kujiepusha na mipasuko.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], Mungu anisamehe kwa kujaribu kuharibu upako wako....
NIMESAMEHEWA[emoji120][emoji120]
Amen prof...

1a1b0e26-71bf-4cde-98b6-0f7edbb69925.gif
 
Back
Top Bottom