myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Mh!!Wakina dada wa kipare hii hamuwezi kubisha ni ukweli kabisaView attachment 914086
Mh!!Wakina dada wa kipare hii hamuwezi kubisha ni ukweli kabisaView attachment 914086
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Mabinti wote mliomo katika uzi huu (Numbisa, Pyaar, Carbamazepine, Sweetlee, Kim Chiu, Tumosa, Ledada, Jakitoo, Farkhina, Beef Lasagna, Consuela, Bbade...); mkipata watoto Nyonyesheni. Na mkilala usiku msilale na bra. Acheni hiyo mirija katika matiti yenu iwe huru. Kinga muhimu dhidi ya kansa ya matiti [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 913472
Pweza...[emoji23][emoji23][emoji23]..Jiboost ukabiliane nacho.View attachment 914093
Leo ni leo...[emoji123]View attachment 914133
[emoji16][emoji16] Leo upako tu broNaona leo bro umekuja kivingine. Safi sana !!!
Mechi zinaendeleaje?Leo ni leo...
Yah manPuga [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Aaaaaaargh [emoji36][emoji36][emoji36]
Leo prof naona una furaha sana. Kidogo uniharibie upako wangu. Asante sana na Mungu Akubariki [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji23][emoji23][emoji23]..Jiboost ukabiliane nacho.View attachment 914093
Mungu pia anasimamia na huku ndugu yangu. Tupo pamojaMungu ni mwema ndugu yangu.
Habari ya siku nyingi?
[emoji2][emoji2][emoji2] ugonjwa wa wengiAaaaaaargh [emoji36][emoji36][emoji36]
Kwema kabisa jubha ghwangu. Pilika pilika za maisha zinatufanya tutengane kwa muda[emoji23][emoji23][emoji23], unapotea sana siku hizi .Kwema?
Hakika mkuu ngoja tuone nani ni nani?Leo ni leo...
Ndio wanaingia uwanjani hapaMechi zinaendeleaje?
Usipotee sana bhanaKwema kabisa jubha ghwangu. Pilika pilika za maisha zinatufanya tutengane kwa muda