moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Mi nilipendalo naona litakuwa kwenye H huko. Hapo halipo. Hovyo kabisa yaani !!!Kishundu no.3 [emoji7]
Vioja havitaisha barani AfrikaCAMEROON: MAMIA YA VIJANA WAANDAMANA KUMTAKA RAIS PAUL BIYA AACHIE NGAZI - Vijana hao wanaamini Mgombea wa Upinzani, Maurice Kamto aliibuka mshindi katika uchaguzi mkuu wa tarehe 7 Oktoba mwaka huu - Aidha, kufuatia maandamanao hayo vijana 42 wamekamatwa na Vyombo vya Ulinzi na Usalama wa Cameroon - Mmoja wa wanaandamanaji amesema kuwa Rais Biya hatengenezi ajira mpya hivyo hawaoni faida yake - Paul Biya ameongoza taifa la Cameroon kwa miaka 36.
Safi sanaJumla ya vijana 12 ambao waliokolewa pangoni nchini Thailand mwaka huu watakuwepo katika uwanja wa Old Trafford hii leo kuishuhudia Manchester United ikicheza na Everton. Vijana hao ambao ni wa kutoka timu moja ya vijana nchini humo, waliokolewa kwa pamoja mwezi Julai baada ya kukwama kwa takribani wiki mbili katika pango lililojaa maji. Tukio hilo liliteka hisia za watu wengi sehemu mbalimbali duniani na kupelekea hadi Makamu Mwenyekiti mtendaji wa klabu ya Manchester United, Ed Woodward kuwaalika kuhudhuria katika moja ya mchezo. Taarifa zinaeleza kuwa vijana hao walikutana na kocha Jose Mourinho jana Jumamosi.
Kwema?Hasa hapo kwenye (+)[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
Mi nilipendalo naona litakuwa kwenye H huko. Hapo halipo. Hovyo kabisa yaani !!!
[emoji3591][emoji3591][emoji3591] You have a kishundu?
Cole WilliamsConsuela
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] unamuwinda kanjibai[emoji16]Kila nikiutazama mkeka wa leo nilioutandaza,,,najikuta nacheka ki baba jesca,,,
Kanjibai sijui ataponea wap leo
Vp iko fresh kiasi chake,,,Asante sana man...
Alafu ile documentary ya Pac uliniambia "All Eyes on Me" niliitafuta nikaicheck bhana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], sawa nimewaachieni.Waachie wahusika prof [emoji16][emoji16][emoji16]
Yesi pulizi. That will be mezimaraizingi...Oh dia purofesaaaaaa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], ofu kozi yesi. Wanna si t?
Salama kabsa,nmerudi now,,habari za majukumu ya kila siku?Niko poa.....vipi za kupotea?
Hili somo la kunyonya maziwa nililifikisha kwa "mama yao",Mungu mkubwa akalielewa somo,tangu hapo havai kabisa... Kunyonya ukiwa umelala raha sana
Anataka afiemo. Kwenye kampeni anashikiliwa na walinzi hawezi kusimama peke yake...Apumzike tu...