Huku kwema mkuu.Salama kabisa mkuu Kwema huko?
[emoji23][emoji23][emoji23]..Jiboost ukabiliane nacho.
Wakina dada wa kipare hii hamuwezi kubisha ni ukweli kabisaView attachment 914086
Yaah! iko poa nimependa matukio yalivyo enda haijapishana na ile ya BIG SmallVp iko fresh kiasi chake,,,
[emoji3] [emoji3] dada zangu wa kipare nawajua vizuri ukimtoa out ujiandae kabisa au uepuke Neno agiza utakacho[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sio kwa msoda huo...Halafu kweli kabisa; wala hauongopi.
Puga [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwani nimemwambia nani kama si wewe cole?Mimi nikajua unaniambia mimi nikaanza kujichekea mwenyewe