Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1540696653787.jpg
 
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]...Ubavu uliolalia leo kumbuka kuulalia siku zote.
Tenga mda wa kukaa nae, kucheza nae na kufurahia uwepo wake. Kumbuka, utakapofariki, yeye ndiye ataaesimama pembeni ya kaburi lako. Huenda marafiki zako wakawa na kazi nyingi na kushindwa kuhudhuria.
Mhubiri 9:9
 
Back
Top Bottom