myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
[emoji818]
[emoji818][emoji818]
Wakija wale utaulizwa, mbona mikono haionekani? Msosi safi japo hautoshi [emoji16][emoji16][emoji16]
Jamaniiiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji101]Pendezesha makalio yako kwa kufanya haya
Makalio yetu ndiyo yanayotoa shepu fulani kwa mwanamke katika vivazi na ukiyaachia ovyo yanaweza kukuletea mushkeli na kama ukiyatengeneza hata yale makalio yanayosifiwa sana.
Wanawake wengi kwa sasa wanapenda kurekebisha makalio yao ili kuyapatia ukubwa unaostahili kwa jinsi wao wanavyopenda.
Naona leo bro umekuja kivingine. Safi sana !!!Mapishi ya wanawake hayafanani. Furahia mapishi ya mke wako. Sio rahisi kumpikia mtu milo mitatu kwa siku kwa siku 365 kwa mwaka kwa miaka mingi mlioishi wote
Mithali 31:14
Hahah!! Binti mpole atakua mstari wa mbele....Wakija wale utaulizwa, mbona mikono haionekani? Msosi safi japo hautoshi [emoji16][emoji16][emoji16]
Apumzike tu...CAMEROON: MAMIA YA VIJANA WAANDAMANA KUMTAKA RAIS PAUL BIYA AACHIE NGAZI - Vijana hao wanaamini Mgombea wa Upinzani, Maurice Kamto aliibuka mshindi katika uchaguzi mkuu wa tarehe 7 Oktoba mwaka huu - Aidha, kufuatia maandamanao hayo vijana 42 wamekamatwa na Vyombo vya Ulinzi na Usalama wa Cameroon - Mmoja wa wanaandamanaji amesema kuwa Rais Biya hatengenezi ajira mpya hivyo hawaoni faida yake - Paul Biya ameongoza taifa la Cameroon kwa miaka 36.
Waachie wahusika prof [emoji16][emoji16][emoji16]Mmmhhhh! [emoji23], hata halina mvuto.