Marahabaaa potView attachment 914217
Sup likers! [emoji1]
Ester sio kwa kujikausha huko kama hakuna kilichotokeaMmmmh
Mkuu, kwema huko? Za kupotea? Rabsha ya jana hapo kwenye sinagogi haikukuathiri kwa namna yo yote ile? Tumshukuru Mungu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]View attachment 914217
Sup likers! [emoji1]
Marahabaaa pot
Nna timu mbili leo ujueee,waongelea timu gani?[emoji23]Ushajiwahi? Naona leo yule mviziaji wenu amepigwa benchi! [emoji23][emoji23]
You own hiyo mkono ya kuku?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unaskia ngoma za 2 Pac hadi unajiona ganster from Brooklyn. Ukitoka nje ya nyumba ndo unarealize wewe ni mzee wa Mwakaleli na taxes lazima ulipe.[emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nna timu mbili leo ujueee,waongelea timu gani?[emoji23]
Muwache lukaku wetuuu
Mkuu, kwema huko? Za kupotea? Rabsha ya jana hapo kwenye sinagogi haikukuathiri kwa namna yo yote ile? Tumshukuru Mungu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]