Jist let him go. Kisasi ni cha Bwana[emoji120][emoji120]
Huyo mzee ni shida sana.Shimba ya buyenze bhana point nyingi sana kwake hahaha
Huko uliko mnaruhusiwa?
Huku niliko unalipia leo baada ya siku tatu unachukua. Au ukienda kwenye gun show unanunua na kubeba hapo hapo. Hata SMG ukitaka. Sad
Kwa kocheko hichi inaonyesha bado muhindi hajakupata[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hakika hujakosea kuchagua timu mkuuLeo nipo barcelona
Mpaka sasa mkeka unaendaje mkuu, maana Madrid ni kama uluvyoona na timu yako ya Man U mambo ni kama hivyoAsante sana bro moud,,,[emoji23][emoji23][emoji23]dua zako znahtajika kumuua Kanjibai
Binti Mpole[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]