myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
KWELIMwafrika ana mira zinazojitosheleza, binafsi nazikubali, kwenye suala la familia nayakubali mambo mengi yanayoongozwa na mira zetu ingawa sikubaliani na vipigo eti ni chanzo cha kuonyesha upendo
Tanzania yetu
safi sanaGurumeti reserve SerengetiView attachment 914990
sahihi...Bila huu mmea hakuna cha GNLD, For Ever Living, Aim Global, RIFARO na "upuuzi" mwingine View attachment 915019
Kitu kimoja kizuri kinachorekebisha sana desturi na kitu unachotaka ni kioo. Wanawake wengi wanakwepa kujiangalia katika kioo wanaona kioo kinawapa kitu cha siri wasichotaka kujua. Kioo kinaweza kuwa rafiki yako mkubwa na kioo kinaweza kukuambia unaendeleaje kioo kinakupa kitu ambacho macho hivi hivi hayawezi kuona.
Kajizalilisha sana unajisika hata aibu muda mwingine kusikia taalifa zake
Ni maisha yake. Mwacheni aishi anavyopenda...Kajizalilisha sana unajisika hata aibu muda mwingine kusikia taalifa zake
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
bustani nzuri...