Kuna muda sipendagi kuongea, najiishia kulamba tamuuuBro mimi ni binti wa makamo
Watoto wanne?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umamtetea bro,,,anajua tips zote za kubet,,mm namuweka kwenye andaten mjanja janja
Subiri aje[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nmeacha mama[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We muache tu ajichanganye.
Kweli kabisa.
Aaa wapi. Hujavuka 25 wewe. Na kama umeshavuka si zaidi ya miaka mitatu. So you are likely 23 - 28. Naweza kubet hata TECNO yangu hii niipendayo uichukue kama utakuwa 30+...Ukivuka 30 utaacha kuangalia rangi za mataya ya mabinti na hutaoa kwa sababu eti umechoka kupika...na mengineyo mengi. Maisha yana tabia ya kubadilisha watu kimtazamo na kisaikolojia. Bado mapema sana bro...Dah!
Bro me mtu mzima sana ni vile sijaoa tu.
Whai?Naomba prof.atolewe kwenye hiyo list[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bro mimi ni binti wa makamo
Saa tano na dakika arobaini na tisa. Hata saa sita bado [emoji16][emoji16][emoji16]
Aaa wapi. Hujavuka 25 wewe. Na kama umeshavuka si zaidi ya miaka mitatu. So you are likely 23 - 28. Naweza kubet hata TECNO yangu hii niipendayo uichukue kama utakuwa 30+...Ukivuka 30 utaacha kuangalia rangi za mataya ya mabinti na hutaoa kwa sababu eti umechoka kupika...na mengineyo mengi. Maisha yana tabia ya kubadilisha watu kimtazamo na kisaikolojia. Bado mapema sana bro...
Amekuja tayali bro,,,ngoja atatuambia hapa leoWatoto wanne?
Binti wa makamo? Puliiizi. Mtakua tu. Mna haraka ya nini? Jizazi [emoji16][emoji16][emoji16]Bro mimi ni binti wa makamo
Whai?
Alitufunga kamba hiyo idadi ya watoto bro. Andaeitini huyo. Ila mimi simo lakini [emoji2099][emoji2099][emoji2099]Amekuja tayali bro,,,ngoja atatuambia hapa leo