Hapana huyo mdogo wangu carb ni tabibu, namuamini sana, ila ni vizuri tukipata maneno mengi zaidi na zaidi kwania njema tu ili tujifunze vitu tofauti tofauti. Au unaonaje?Bro huyu mdogo wako,,sema vitu vingine anagoogle tu
[emoji818][emoji818][emoji818]Waafrika wengi wana/tunaamini kwenye sayansi ya asili.
Kama alivyosema SYB wagonjwa wengi wanaoanguka chooni huwa ni BP ndo inasumbua mwisho wa siku unapigwa stroke unadondoka.
Wengi wao baada ya kudondoka ukicheki presha zao huwa juu.
Shida hatuna utaratibu wa kupima afya zetu mara kwa mara.
Dada Nakubaliana nawe bila kuacha chembe ya shaka, ila sisi wafrika tunapenda sana kutishana. Pumbavu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Kuna Sangoma mmoja aliwahi sema kwamba pale chooni hupelekwa kiumbe cha kutisha, mwili wa binadamu miguu mnyama, macho na mdomo kama wa tai.
aliyelengwa akiona tu anashtuka na kuanguka, akadai anguko lake linaenda sambamba na kupasuka mishipa ya damu kichwani kwakuwa tu mshtuko ni mkubwa. Akasema mgonjwa wa aina hiyo anaweza kutibika hospitali au kwa sangoma kama yeye.
Kwahiyo endeleeni kumwaga maaujuzi ili tujifunze
Kweli kabsa,,,SYB kaongea point sana,,carba nae kamaliza kila kitu kachanganya na vtu vyake vya kitabibu,,,nmepata shule ya kutosha leo,Hapana huyo mdogo wangu carb ni tabibu, namuamini sana, ila ni vizuri tukipata maneno mengi zaidi na zaidi kwania njema tu ili tujifunze vitu tofauti tofauti. Au unaonaje?
Maana nimeona mada yako ni pana sana, na huku mtaani watu wanatishwa sana, huenda tatizo ni dogo tu kama alivyosema mkuu SYB na kukaziwa na dada carba
Dada Nakubaliana nawe bila kuacha chembe ya shaka, ila sisi wafrika tunapenda sana kutishana. Pumbavu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Kuna Sangoma mmoja aliwahi sema kwamba pale chooni hupelekwa kiumbe cha kutisha, mwili wa binadamu miguu mnyama, macho na mdomo kama wa tai.
aliyelengwa akiona tu anashtuka na kuanguka, akadai anguko lake linaenda sambamba na kupasuka mishipa ya damu kichwani kwakuwa tu mshtuko ni mkubwa. Akasema mgonjwa wa aina hiyo anaweza kutibika hospitali au kwa sangoma kama yeye.
Kwahiyo endeleeni kumwaga maaujuzi ili tujifunze
Unywaji wa pombe kupita kiasi ni hatari kwa afya yako.Tunajitolea kupima kwa hiari, mnaanza kutupa ushauri wa kusitisha...
1.nisinywe pombe (sijui wana/mna maanisha nini!)
2.nisile nyama... Kyusa mimi nisile nyama!! Kweli?
Acha nisiendelee....
[emoji23][emoji23][emoji23]Hahahha sawa dada angu carba,,nmekusikia vyema
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Safi sana mdogo wangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wewe mbona umeshindwa ku google??Bro huyu mdogo wako,,sema vitu vingine anagoogle tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hii ligi leo imemkosa Ester,,sipat picha hayo mapovu yangekuwaje
Mm mkubwa wao andaten wote wa humu
[emoji23][emoji23][emoji23]hiyo ndo shida yetu waafrika,tunapenda sana kuamini kwenye juju.
Hii habari ya kuanguka chooni wengi huihusisha na mambo ya kishirikina sababu wanaamini chooni si kuzuri kuna mambo ya kutisha ndio maana wengi wakianguka utasikia karogwa katupiwa kijini sijui upuuzi gani.
Hakuna sangoma anatibu high BP.
Ukianguka ghafla na kupigiza kichwa chini yaweza sababisha mishipa ya damu kichwani kupasuka(japo si wakati wote)
Waafrika tuna safari ndefu sana ya kwenda.
Cha muhimu ni kucheki afya zetu mara kwa mara hasa haya magonjwa yasiyoambukiza