Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sasa hv inamuonekana mpya,,,hatari tupo

Awe na maisha marefu popote alipo km yungali hai,,leo tumepata nondo hapa,,inabd ajisifie katoa mwanafunz kichwa japo bado anaishi kwa msaada wa mwongozo wa bunge,desa [emoji23][emoji23]
Ualimu - kazi mama. Sijutii kuwa mwalimu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Sasa hv inamuonekana mpya,,,hatari tupo

Awe na maisha marefu popote alipo km yungali hai,,leo tumepata nondo hapa,,inabd ajisifie katoa mwanafunz kichwa japo bado anaishi kwa msaada wa mwongozo wa bunge,desa [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ninge bhana.
Mimi ni kilaza ninayejitambua.
Kitu sijui nauliza,sielewi nasoma.
Maisha niliyochagua kuishi ni ya kusoma kusikoisha.
 
Si lazima kusubiri uvuke 40,kuna vijana siku hizi wako kwenye 30's hapo wako na na presha,sijui kisukari na magonjwa wengine kibao yasiyoambukiza.

Shida yetu tunasubiri tuumwe hadi tuzidiwe ndo twende hospitali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…