Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Space bound listen itAkiiii Cole nitakupiga vichwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]niache basi khaaa!!
Space bound listen itAkiiii Cole nitakupiga vichwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]niache basi khaaa!!
Nitake radhi puliiiziiii[emoji23][emoji23][emoji23]Aisee,,kumbe kanichomesha maini eeh,,mm niliona sehem hii ishu sema sna kumbukumbu km ni movie au series ,,,sasa hapa naambiwa ni song
King kaka au muite Kaka sungura [emoji16]Ewaaaaaa[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]hii kitu iko poa sana.
Kuna mjamaa wa kenya anaitwa king kaka kaiga ka chorus hata yenyewe iko njema mbaya
Mfyuuuuu zako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Na mdundiko amuachie nani
Amna amepatia hiyo nyimbo ipo kwenye Album ya kamikaze ya juzi KatiAisee,,kumbe kanichomesha maini eeh,,mm niliona sehem hii ishu sema sna kumbukumbu km ni movie au series ,,,sasa hapa naambiwa ni song
Ai jirani....Mfyuuuuu zako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Mdundiko ndo nini?
Kwetu mbagala tumezoea vibao kata
Sikua nimelipia wala sikupoteza ela...Kwahiyo ulipoteza hela yako bure?[emoji23][emoji23]
Mie nasemea nyimbo na si movie
Itafute my favorite ni Lucky meAisee,,kumbe kanichomesha maini eeh,,mm niliona sehem hii ishu sema sna kumbukumbu km ni movie au series ,,,sasa hapa naambiwa ni song
Mfumo wa kocha huyu unamfanya aoneshe uwezo kuna kipinda alitaka kupotea kabisaChalii amerudi training
That's my girlNitake radhi puliiiziiii[emoji23][emoji23][emoji23]
Nmeiona aiseee,,,[emoji23][emoji23][emoji23]hamuaminik vijana wa siku hzNitake radhi puliiiziiii[emoji23][emoji23][emoji23]
Naipata hii,nilikuwa naielewa sanaSpace bound listen it
Jamaa sialichukuliwaga na TID akawa chini ya lebo yake lakini mziki hakuna zaidi ya ile picha yake iliozagaa jamaa kazima sijui na mitungi alafu kachoka vibaya.....Hivi hili lijamaa liko wapi?naona tangu tmk ivunjike kuna watu haeasikiki
Jamaa style yake ya kuimba kama mrisho mpoto,ovyo sanaKing kaka au muite Kaka sungura [emoji16]