Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Leo nilikuwa na vibe na tmk wanaume
Nikawa na enjoy nyumbani ni nyumbani
Nyumbani ni nyumbani majamaa walitoa ya moyoni kabisa mule, huwa nafurahi nikisikiza hiyo ngoma....

Eti..

"Ndio nyumbani hapo wewe jivunie, ndo Mungu alichokupa usichukie"
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Daah!

Amna bhana jamaa yupo vizuri mbona ila pia kuna hasimu wake anaitwa Octopizo pia yupo njema, Mimi nawaelewa wote
Mtu anaimba kama anaghani mashairi bhana,sema hiyo nyimbo niliyokwambia ameimba na paskal tokodi inaitwa unforgetable ndo iko poa.

Octopizo nimemsikia napenda anavyoimba si mbaya sana
 
Back
Top Bottom