Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Sawa sawa bossMtu anaimba kama anaghani mashairi bhana,sema hiyo nyimbo niliyokwambia ameimba na paskal tokodi inaitwa unforgetable ndo iko poa.
Octopizo nimemsikia napenda anavyoimba si mbaya sana
[emoji23][emoji23][emoji23]Huwez pata jino hata moja,,,yote tyl yamekwisha toka kwa ajili ya uzee
Hyo nyimbo umeipenda kisa yupo bwana ake selina,,,hakuna kingineMtu anaimba kama anaghani mashairi bhana,sema hiyo nyimbo niliyokwambia ameimba na paskal tokodi inaitwa unforgetable ndo iko poa.
Octopizo nimemsikia napenda anavyoimba si mbaya sana
Hizo huwa nasikizaga mara moja kwa mwakaOyoooooooooo
From today onward wewe ni hip hop
Khaligraph jonesKhaligraph mbna mnamsahau???
Nimemletea mtu ambae kwenye mashairi na aina ya uimbaji wake hawatofautiani sana, Papa Jones ni next levelKhaligraph mbna mnamsahau???
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hatunaga hzo ishu ,,ss tunasikiliza ngoma ngumu ngumu tu,,Tena nyie ndo mnasikizaga kwenye tecno zenu sauti kubwa utasikia hainaga ushemeji sijui madude gani,hovyo kabisa[emoji23][emoji23]
Nilivutiwa na sauti ya paskal na biti ya nyimbo,sema king kaka ndo kaharibu japo nyimbo ni yake ila bado naisikiza iko kwa playlist yanguHyo nyimbo umeipenda kisa yupo bwana ake selina,,,hakuna kingine
NdioKhaligraph jones
[emoji23][emoji23][emoji23]mkija mjini mnahamia kwenye iokote[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hatunaga hzo ishu ,,ss tunasikiliza ngoma ngumu ngumu tu,,
Joyner Lucas huyu jamaa namkubar sana toka kwenye Mask Off remix,,,huu wmbo utakuwa mzr
[emoji16][emoji16] tafuta nyimbo yake inaitwa Dodoma unaweza kuipendaNilivutiwa na sauti ya paskal na biti ya nyimbo,sema king kaka ndo kaharibu japo nyimbo ni yake ila bado naisikiza iko kwa playlist yangu
Tayali nmeshakuja mjini[emoji23][emoji23][emoji23]mkija mjini mnahamia kwenye iokote
Nitakupa mrejesho[emoji16][emoji16] tafuta nyimbo yake inaitwa Dodoma unaweza kuipenda
Mimi nisikilizaga lazima kichwa kinesenese kidogo hahahaJoyner Lucas huyu jamaa namkubar sana toka kwenye Mask Off remix,,,huu wmbo utakuwa mzr
inshaAllah!!Nitakupa mrejesho