Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hivi hili lijamaa liko wapi?naona tangu tmk ivunjike kuna watu haeasikiki
Jamaa sialichukuliwaga na TID akawa chini ya lebo yake lakini mziki hakuna zaidi ya ile picha yake iliozagaa jamaa kazima sijui na mitungi alafu kachoka vibaya.....

Sure TMK ilikua inalea vijana wengi sana Sasa hivi kila mtu na harakati zake tu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…