huu ulimwengu hauna haki kabisa, mmoja anakataa billioni 2.5 za Jamal khashgogi Huku mwengine anajisifia kunywa bambucha usiku wake wa kwanza wa ndoa
Dooh kumbe mzee baba nae mshua? Nilikua sijuiPique pia wa kishua
Ndio wa kishua balaaDooh kumbe mzee baba nae mshua? Nilikua sijui
Kuna kifurushi Kimoja wanakupa GB4,lakini mb 500 unatumia asubuhi hadi saa mbili usiku na GB 3.5 unatumia saa mbili usiku hadi saa 12 asubuhi kwa tsh 1000.Mb ngapi huko na sh ngapi?
Andaten bhna,,si ujiunge lile bando lenu la wanachuoMb ngapi huko na sh ngapi?
Tulia basi na weweeeeee nipate madini mieAndaten bhna,,si ujiunge lile bando lenu la wanachuo
Unaenda TTCL[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tulia basi na weweeeeee nipate madini mie
Asante mkuu,mie huwa natumia cha halotel gb 10 kile cha usiku. Mwisho wa week vile kama ijumaa naweza kesha nadownload movies za kutosha mpaka gb ziishe ndo nalala kwa amani kujiandaa kuzifaidi hizo movie week nzima kwenye free timeKuna kifurushi Kimoja wanakupa GB4,lakini mb 500 unatumia asubuhi hadi saa mbili usiku na GB 3.5 unatumia saa mbili usiku hadi saa 12 asubuhi kwa tsh 1000.
kile cha saa 6 usiku wanachokupa GB 10 sikiwezi siku hizi.
hahahaaaaa kinanifanya mchana nilale ovyo Kama bundi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unaenda TTCL
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mie mtanzania orijino kama bwana jiwe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unapenda mtelemko