Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
HUKO Tottenham Hotspur presha ni kubwa baada ya kuripotiwa kwamba wachezaji wa timu hiyo wakiwa kwenye hofu kubwa ya kumpoteza kocha wao Mauricio Pochettino.
Baadhi ya wachezaji na wafanyakazi wengine kwenye kikosi cha Spurs wana hofu kwamba huenda huu ukawa msimu wa mwisho kwa Pochettino kuwa kocha wa timu hiyo baada ya Manchester United na Real Madrid kuonyesha dhamira ya dhati ya kunasa huduma yake.