Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Huo ndio uhondo wa Ligi Kuu England wikiendi hii, huku macho ya wengi yatakuwa huko Emirates kuona kama safari hii kutakuwa na mvua nyingine ya mabao kama kawaida ya Arsenal na Liverpool zinnapokutana. Huu ni mtihani mzito kwa Emery atakapowakabili vigogo hao kwenye ligi. Tayari ameshachapwa na Man City na Chelsea. Atawaweza Liverpool?