Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Daah!!Balimi wanatumia wakulima
Basi mimi kuna mtu aliniuliza natumia kilevi gani nikamjibu natumia wine kama Saint anna, pia natumia Smirnoff...
Akaniponda Sana eti mtoto wa kiume unakulaje vinywaji laini kiasi hicho? Eti mtoto wa kiume unatakiwa kunywa balimi