Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alikuwa Jakaya Kikwete. Ndio hivyo. Baada ya hapo, Arsenal imechezea vichapo vitatu na kutoka sare mara tatu. Sare ya 3-3 mara mbili, Januari 13, 2016 na Desemba 22, 2017. Kuanzia Aprili 4, 2015 kuna mechi moja tu ya Liverpool na Arsenal ndio ambayo haikushuhudia bao, ile ya sare ya 0-0, Agosti 24, 2015. Lakini, mechi nyingine zote zilishuhudia bao nyingi zikipigwa, ikiwamo ile ya mabao saba Agosti 14, 2016.