Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
[emoji23][emoji23]Kila kitu na wakati wake in jirani's voice
Sauwaaa andaeitin wetu mpendwa. Uvuvi mwema.Hahaa, aisee; mvuvi yake ya Mashua bana! Naenda zangu kuvua samaki! Jumapili njema! [emoji112][emoji124][emoji124][emoji124]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mwsho ulikuaje,,maana niliona niwapshe kwanza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kweli injini iko tokotoko
ningendako ulisema kweli bhana
[emoji87][emoji87][emoji87]Genye level 100%[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Ohooo!we sema hivyo tu.
Mwenzio hapo kuna lijamaa liko pembeni linamuandalia uji wa moto[emoji23][emoji23][emoji23]
Injini yake iko oni
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] masihara hayo....ungejua[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ninge ndo huyoo keshaenda kupasha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dahAcha akalime bhana,umri alionao nguvu ni nyingi hachoki haraka[emoji16][emoji16]
Kwema kabsa mzee,,,hope jumapili inaendelea vyema huko ulikoHakika Mungu ni mwema. Habari ya wikendi ndugu yangu?
Mungu azidi kutupa pumzi na afya njema ili tuendelee kucheka na kufurahi pamoja
Mkuu vipi za tokea Jana? Maana ulipotea ghafla nikasikia umeenda kupasha misuli kwajili ya mambo yetu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] masihara hayo....ungejua
Eeh bhana fresh kabsa,,hahaa ah wapi utawaweza hawa andaten mzee,,hakuna cha kupasha msuli wala nn,,,Mkuu vipi za tokea Jana? Maana ulipotea ghafla nikasikia umeenda kupasha misuli kwajili ya mambo yetu
Kufaulu muhimu[emoji3] [emoji3]
[emoji16][emoji16]..Eeh bhana fresh kabsa,,hahaa ah wapi utawaweza hawa andaten mzee,,hakuna cha kupasha msuli wala nn,,,
Fresh lkn?
[emoji23][emoji23][emoji23]Niliona Engine zipo tokotoko,,,nikaona niwapshe nisije nikaota bure.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]naona ushanipachika jina la ubatizo.Vipi Google hujaenda church?