Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwa taarifa yako uziuto wa kuchusha hule ta tatizo la figo, ini na aina kadha za kansa na pia hyuleta matatizo ya magonjwa ya moyo na kiharusi. Unene huleta mchosho mkubwa kwa moyo na pia kuleta mizania dhaifu ya rehemu na kusababisha shida katika mwenendo wa damu.
 
Kwenda zako huko [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
 
jamaa ana credentials za kutosha tu hebu serikali impe ushirikiano tuwapime waliotajwa.... It doesn't take a thing kwa mwanaume wa kweli kupimwa as long as yupo sawa.....
Serikali ipime kwa issue gani wakati hawa hawahusiki na tamko la Bashite?
DUDU ZURI
Kila mtu ana uhuru wa kufanya mambo yake
serikali haihusiani na maisha ya watu, labda kama wanajitangaza hadharani au kuonesha mapicha yao
mtu yupo na mtuwe na hawajawashirikisheni nini kinawauma?

Habari zilizopo mbona inasemekana na yee eti ni shoga...?
 
Uko sahihi. Ningendako mwanzoni anajiunga uzi huu nilikuwa namwona kijana mmoja hivi mtulivu sana asiye na makuu. Ilikuwa ni Kasmart na Shiro mambo yakichemka huyoo anaondoka zake kimya kimya. Mpaka nikawa najisemea mabinti wajanja watamuona na watamdabua bila kuchelewa. Huwa najidai kuwa makini sana katika kudadavua wasifu wa mtu kitabia kwa kuangalia tu maandishi yake kwa muda. Nadriki kusema kuwa nilikuwa wrong kwa asilimia zaidi ya mia kwa huyu dogo. Dogo ni mjanja balaa na akina Davet na hata kijana wa kishua programa wetu Capital watasubiri sana walahi. Ngoja niendelee kumwangalia kwa ukaribu zaidi [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…