Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
*Maelekezo ya usimamizi wa mtihani kidato cha nne Nov. 2018*No confusion will cloud your mind. A very sound mind shall be yours as you study for this exam. You will make it.
Mungu Aendelee kutulinda na kutubariki bro [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Mungu anasaidia, ni mzima pia.
Duh broooo*Maelekezo ya usimamizi wa mtihani kidato cha nne Nov. 2018*
_1.kagua eneo lote la mazingira ya mtihani unapofanyika.chumba cha mtihani, choo
2.Kufahamu wasimamizi wa mtihani.
3.wanaotakiwa kuingia kwenye chumba cha mtihani. Wasimamizi wa mitihani, DED, DSO, OCD, MAAFISA ELIMU.
4.Mkuu wa shule harusiwi kwenye chumba
5.mahusiano na wasimamizi katika majukumu ya mtihani tu sio vinginevyo
6.kusindikiza wanafunzi chooni mwisho mlangoni na akirudi msimamizi anapaswa kumkagua
7.Ulinzi wa mtihani mpk inapoondolewa kwenye kituo ndio unaweza kupumzika
8.kutoa taarifa kwa mkuu wa msafara au msimamizi mkuu kwa tatizo lolote wakati wa mitihani
9.kushirikiana na wasimamizi kutekeleza majukumu na sio kushiriki katika kuhujumu mitahani
10.Askari hatutakiwi au kuepuka kuwa kero wakati wa zoezi la mtihani linaendelea.
11.kutofanya kazi kwa mazoea
12.kutoa taarifa kwa matukio yote yasio ya kawaida
13.kuvaa uniform wakati wote mpk mitihani itakapo ondoka kituoni
14.Marufuku kwa askari wa kiume kutongoza wanafunzi wa kike, kwenda mabweni ya wasichana, kulewa pombe wakati wa zoezi la mtihani
15.kujua na kuisoma ratiba ya mitihani muda wote. Ni Muda gani na mtihani gani unafanyika kwa muda huo.
16.Chakula sio lazima kupewa ni huruma ya Mkuu wa shule. Sio wajibu wao
17.Funguo ya strong room ikiwepo Moja atapewa msimamizi mkuu na zikiwepo mbili askari upewa Moja.
18.Askari kuwa wasafi wakati wote, ndevu, nywele, uniform. nk
19. Wanafunzi wa kike kupekuliwa na mwalimu wa kike au askari wa kike na si vinginevyo
20. Kazi tuliyotumwa ni kusimamia mitihani na sio kazi zingine .
21.Chakula tule lakni tujue kimetoka wapi. Kula ovyo ovyo hairusiwi ili kuepusha matatizo yanayoweza kujitokeza.
22.Kukumbushana kuwahi kwenye chumba cha mtihani.
Nawatakia usimamizi mwema wa MITIHANI.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eti ulikuwa wrong,bro bhanaUko sahihi. Ningendako mwanzoni anajiunga uzi huu nilikuwa namwona kijana mmoja hivi mtulivu sana asiye na makuu. Ilikuwa ni Kasmart na Shiro mambo yakichemka huyoo anaondoka zake kimya kimya. Mpaka nikawa najisemea mabinti wajanja watamuona na watamdabua bila kuchelewa. Huwa najidai kuwa makini sana katika kudadavua wasifu wa mtu kitabia kwa kuangalia tu maandishi yake kwa muda. Nadriki kusema kuwa nilikuwa wrong kwa asilimia zaidi ya mia kwa huyu dogo. Dogo ni mjanja balaa na akina Davet na hata kijana wa kishua programa wetu Capital watasubiri sana walahi. Ngoja niendelee kumwangalia kwa ukaribu zaidi [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]andjul huyooo kasema hivyoCole na Davet wala hawaendani. Cole yupo in his own league. Cole haitakaa azinduliwe hapa. Mnamsingizia tu bro wangu yule hana maneno mengi ...[emoji16][emoji16][emoji16]
Amen.Mungu Aendelee kutulinda na kutubariki bro [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125]Kwenda zako huko [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
View attachment 921515
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uko sahihi. Ningendako mwanzoni anajiunga uzi huu nilikuwa namwona kijana mmoja hivi mtulivu sana asiye na makuu. Ilikuwa ni Kasmart na Shiro mambo yakichemka huyoo anaondoka zake kimya kimya. Mpaka nikawa najisemea mabinti wajanja watamuona na watamdabua bila kuchelewa. Huwa najidai kuwa makini sana katika kudadavua wasifu wa mtu kitabia kwa kuangalia tu maandishi yake kwa muda. Nadriki kusema kuwa nilikuwa wrong kwa asilimia zaidi ya mia kwa huyu dogo. Dogo ni mjanja balaa na akina Davet na hata kijana wa kishua programa wetu Capital watasubiri sana walahi. Ngoja niendelee kumwangalia kwa ukaribu zaidi [emoji16][emoji16][emoji16]
Nilishawahi kutoa angalizo kuhusu hili bro. Data zinaendelea kuharibu tu haipothesia yangu. Naendelea kukuangalia bro. Ile tu ishu ya kushambulia Wasuku ilinishangaza sana bro...[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eti ulikuwa wrong,bro bhana
Kiukweli mimi mtulivu na mstarabu sana,,jipe muda tena utanielewa vizuri bro
Nimejikuta nacheka sana,,,uzi huu uwe na maisha marefu aisee,,tunafurahi pamoja na ma life coachies wetu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]tuombe Mungu siku moja atukutanishe pamoja.... hawa watu wawili hawa...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]andjul huyooo kasema hivyo
Vijana wetu wako makini sana hawa. Kesho na kesho kutwa tutakuja kupata raisi humu au angalau waziri. Tuombe tu wakifika huko wasije wakakana kuwa hawakuwahi kujiunga JF au kuwa katika uzi huu. Tuendelee kuwaombea [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naona una wafuatilia kwa ukaribu vijana wako. Yote hayo ni kwa upendo ulio nao.
Usisite kutupa ushauri pale unapoona tunaenda njia isiyo sahihi ingawa kutimia hilo lazima kuwepo na mawasiliano ya pande mbili. TUSEMEZANE...
Uzidi kubarikiwa[emoji120][emoji120]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nmeona na ilikuwa July,,,duh aiseeNilishawahi kutoa angalizo kuhusu hili bro. Data zinaendelea kuharibu tu haipothesia yangu. Naendelea kukuangalia bro. Ile tu ishu ya kushambulia Wasuku ilinishangaza sana bro...[emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 921552
Usha nichanganya sasa...Heshima Ya Mwanaume Ni Idadi Ya Mafanikio Yake Sio Idadi Ya Wanawake Alionao!!
nani wa kusimama na kusema konki master ni shoga?Habari zilizopo mbona inasemekana na yee eti ni shoga...?