[emoji3] [emoji3] hao wawili wana nini.mzazi?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi ni mzazi, kwa kuangalia miandiko yao nimegundua ningendako ni mjanja mjanja kuliko Davet. Tatizo lipo kwa Cole na Davet, kwa mzazi mwenye mapenzi na watoto atateseka sana kuwalea... Wanahitaji ukaribu sana
Aibu sana haya mambo.Kazi sana yaani...
Halafu wapenda huu mchezo ndo huwa wako kimbele mbele sana kupinga hadharani na hata kujivika uanaharakati kabisa. Sitashangaa huko mbele ikija kugundulika kuwa hata huyu mkurupukaji wetu naye anapelekewa moto. Hovyo kabisa !!!
Weekend kwishaWeekend inaelekea ukingoni, raha zinaendelea
Kesi zako.hizo, uzijibu tu maana hakuna namna[emoji3] [emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sitaki kesi kakake
Mmmh mbona hawajampa kalipio!!! ni utata juu ya utata.
Haya mambo ni kusikia tu kwa watu ndugu yangu ila yasikukute wewe kweli inafedhehesha pia inauma sana .....Ombeni sana ili mje mpate watoto waliosimama katika kweli na heshima ya Mungu. Kuzaa toto la kiume halafu likageuka kuwa James Delicious lazima kunauma sana.
Asante [emoji16][emoji3] [emoji3] pole
Mashamba ni ya ukoo siyo yangu bro. Siwezi kuuza eti nataka kununua aifoniBro unkusaje iPhone na una hekari za mashamba na mashamba.?
Mashamba ni ya ukoo siyo yangu bro. Siwezi kuuza eti nataka kununua aifoni