Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

5 Tips on how to survive during the hard time.

As long as ww ni bimadamu,bhasi matatzo jua yapo tu,matatzo tumeumbiwa binadamu so kila binadamu anakuwa na matatzo yake tofaut ni ukubwa wa matatzo tu

1.Stop Victim Mentality
Achana na ile dhana ya kuwa tayali umeshashindwa,stop blaming yourself,stop complain et why me??sasa ulitaka hayo matatzo apewe nani??ww ni binadamu na matatzo ni sehem ya maisha yako,,ie umefukuzwa kazi jua ndio imetokea so kaa chini focus kitu kingine na maisha yataendelea tu.
 
3.Conquer the Fear
Kuna jamaa huwa anasema Fear ni Force Evidence Appear Real,,so hutakiw kuwa na fear,like unaanza kutengeneza vitu kichwani mwako,,unaanza kuraise vitu kichwan mwako,,wakati vitu vingi vile unavyowaza vnavyokufanya uogope hutokea mara chache sana,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…