Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

5.Smile
Tena very big smile,even thoug unapitia hard time siku zote kumbuka kusmile,ukismile still unaget positive way,,,hata watu wengi waliofanikiwa kwenye maisha pindi walipokuwa na hard time hawakusahau kusmile kwa kuwa matatzo ni seh ya maisha
Mf.Utakuta mtu analalamika hana viatu,jarbu kutoka nje,tembea huko utakutana na mtu hana miguu,,so utaona kumbe ni bora yako ww
Mshukuru Mungu kwa kila jambo and then smile tena very big smile.
 
Unaweza kupambana mpaka unasahau unapambania nini bro?

Kunamabraza wanafight sana ila miaka yote wapo vile vile kama ngoma ya wateule, wengine wanakata tamaa wanaishia kwenye ulevi wengine uteja kabisa...

Noma bro unaweza kuhisi umelala na bundi
Don't be busy, be productive...

Tunachokosea ni kuwa busy na kuchakarika kwa vitu ambavyo tumekwisha ona dalili zote kuwa outputs zake ni kidogo sana na zenye changamoto nyingi. Tunajikuta tunasota sana pasipo kuona matunda yoyote.
 
Pyaar my dear upo sahihi kabisa na ninakuelewa sana lakini hii kauli yako tukiitoa katika maandishi tuiweke katika uhalisia/utendekaji huo ni mtihani mwingine
 
Pyaar my dear upo sahihi kabisa na ninakuelewa sana lakini hii kauli yako tukiitoa katika maandishi tuiweke katika uhalisia/utendekaji huo ni mtihani mwingine
Na siku zote utendaji huwa ni mgumu kuliko upangaji/utamkaji na uandishi... Wote wenye mafanikio halali wanapita/Walipitia ugumu katika kutekeleza kile walichokiandika/ walichokipanga na hatimaye kuona matunda yake..
 
Mungu abariki mapambano yote halali na wapambanaji wake pia awafanyie wepesi katika mapambano yao.

Aya Tuseme Amen ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…