mungu[emoji735]je mungu ndiye anasababisha majanga?
je kuna chochote kinachothibitisha kwamba mungu anawajali watu wote,je tunaweza kuwa na uhakika ikiwa mungu anatuona na kuzitambua hali zetu za kimaisha ikiwemo kuhisi maumivu yetu au kutusaidia kukabiliana na matatizo yetu?
Maeneo gani haya?
Elimu nzuri[emoji818]Don't be busy, be productive...
Tunachokosea ni kuwa busy na kuchakarika kwa vitu ambavyo tumekwisha ona dalili zote kuwa outputs zake ni kidogo sana na zenye changamoto nyingi. Tunajikuta tunasota sana pasipo kuona matunda yoyote.
Hahahh eti konk konk konk masterWanaume wa Mkoani hao vipi wale wa Dar wapo au bado Konk, Konk, Konk Master ana kazi nao??
ila yote yanawezeka Mkuu, duniani kuna siri nyingiYeah nimeona kiongozi.