Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Wamepata anapumuliwa laivu nini? Kazi ipo !!!
Sisi siyo Wakurya. Hatupigi mwanamke hata siku moja. Jisikie huru[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], naogopa minundu.
Sasa hivi nimeishia skrinishoti mbili tu. Endeleeni [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]maana kaja na sikirinishoti kama zote[emoji23][emoji23][emoji23]
Kimbaumbau unaweza kutoa ulinzi gani wewe? Si nakusukuma tu unaanguka huko halafu natembeza kichapo kama kawa?Hakuna atakayekugusa mimi niko nakuhakikishia ulinzi[emoji23][emoji23][emoji23]labda tu kama itagusa maslahi
Umemtesa sana huyu mdogo wangu yaani. Hata huruma huna hata kidogo. Savage !!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jamani na upole wote huu??
Halafu hadi nimemkumbuka Cole Williams wangu mzee wa paraboz
So wanacheza kwanza wanataka wanaume high class wanagongwa weee wakija kushtuka 30+ holaaa jioni inabisha hodi? Shwaiiini !!!
Si ungekuja Gold Crest ukahakikisha?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hakunaga msukuma mjanja oohooo usinigombanishe na broo brooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
...wajinga?Wasukuma wote ni [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji818][emoji818][emoji818][emoji818][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]Bro be likeView attachment 922758[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dah! Upo vizuri aisee, ndo yeye Bro.Malaika?
Kazuri sana hako kabinti japo nako wanakasemaga kana yale mambo yao yaleeee....Dah! Upo vizuri aisee, ndo yeye Bro.
Huyuu ni Model au actress.?Kazuri sana hako kabinti japo nako wanakasemaga kana yale mambo yao yaleeee....