[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]pole sana.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]lini hiyo? Sijayaona kabisa.
Nanyi mmezidi kumuandama... Hapumui....
Kwani mkiposti mavitu ya hivi bila kapusheni atashtukaje?
Mimi mwenyewe naumia sana mnavyouandama upande wa kule....
Kuna kasikirinishoti huwa anakatupiaga...... msukuma na ng'ombe ni mapembe..... Jana usiku nilimuonyesha Wife... Weeeee nimechambwa,wanyakyusa wa Ileje nao kawachamba, wa Tukuyu hawakupona,wale wa Kyela ndo kabisaaa... Usingizi ukakata.
Ile nije kuzuga huku nikakutana na nyie wajinga wawili[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 923923View attachment 923924
Mkuu niajebaba harusi na bibi harusi sukumia ndani
Nipo kwa mara chache chache mkuu, familia inaendeleaje? Upande wangu Mungu ni mwema tupo vizuri kabisaMkuu za masiku tele upo ndugu yangu
Naona mnaenda mapumziko na zigo la goli 2,polen sanaLiver hovyo sana
Na fenesi lake mkononi.Dume la mkoani limehamia dar likaanza kujifananisha na dada zake,mwisho wa siku wanamkonki
Nashukuru sana kusikia hivyo tupo pamojaNipo kwa mara chache chache mkuu, familia inaendeleaje? Upande wangu Mungu ni mwema tupo vizuri kabisa
Anatokea wapi hadi useme ni ndugu yangu?Nikikwambia anakotokea utastaajabu[emoji23][emoji23], ni nduguyo.
[emoji16][emoji16][emoji16] vumilia mkuu mpira dk 90Napoteza usingizi wangu kuangalia vitu vya kijinga kabisa