Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]jamani Itabidi niitishe kamati tufanye kikao cha usuluhishi. Mungu mkubwa binti ameamua kufuatilia ipielo, ni dhahiri wakipatana watakuwa ni "ndege wafananao huangalia mpira pamoja "
 
Shukrani mkuu...

Mchanganuo wako upo sawa ila watu wengi wakiongeleaga hii kitu hua hawamtaji SaigoN sijui alikua anajiweka nyuma sana ama vipi?

Mabraza wengi walioanza hizi shughuli walikimbilia nje ya nchi kwasababu za kimaisha pia wengi wao walikua watoto wa kishua...

Pia hii miziki ya kubana pua nahisi Dully ndio alianzisha nyuma sana kabla ya kina Mb hawajakuja...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…