Wanatania hawa ....[emoji23][emoji23][emoji23] 3 point mechi 26?WIKI ya 11 tayari kwenye Ligi Kuu England. Pointi 26 zinawatenganisha anayeongoza Man City na anayeshika mkia, Huddersfield. Man City wamekusanya pointi 29 kwenye mechi hizo na Huddersfield wana pointi tatu tu. Hawa, Huddersfield kushuka daraja kunawahusu. Jana Jumamosi walikuwa na mechi yao na sijui kilichowakuta huko kwa Fulham. Hebu achana nao hao.
Mzee wa droo upo?hahahahahWanatania hawa ....[emoji23][emoji23][emoji23] 3 point mechi 26?
Aah! jamani adi droo nachekwa siku hizi? Wewe una masihara na mashabiki wa Liverpool sasa sio bure [emoji16]...Mzee wa droo upo?hahahahah
Jamaa amekonda sana [emoji4][emoji4][emoji4]
[emoji16][emoji16] ndio mwili wake ulivyoJamaa amekonda sana [emoji4][emoji4][emoji4]
Ipo goodAsubuhi imekaaje wadau?