Msiba wa nani?Au ndio alikuja kwaajiri ya msiba?
Wana hali mbaya sana mzee sijui shida ni nini na wanao wachezaji wazuri tu, wamechana sana majamvi yangu hawa maboyaMonaco wanatia huruma,,juzi juzi tu hapa walikuwa mabigwa wa ufaransa,,wakafika nusu kwenye champions ligi,,leo wapo mkiani kwenye kila sehemu ligi ya kwao hadi hukuMaisha yanenda kasi sana
Niaje broGood good ausio
[emoji23][emoji23][emoji23] hatari[emoji4][emoji4][emoji4]amwombe Mungu asiugue aisee anaeza bakia kama toothpick
Yah man!!Good good ausio
Pole mkuuWana hali mbaya sana mzee sijui shida ni nini na wanao wachezaji wazuri tu, wamechana sana majamvi yangu hawa maboya
Pamoja.Yah man!!
Yamejumuishwa naona P inasoma 4Kabla ya matokeo ya jana eeh
Sijui bro ila kunasememu nilipita mtandaoni nikaona taarifa inasema balozi atua bongo kwenye msiba ila sikuifatilia..Msiba wa nani?
Pamoja kakaPamoja.
[emoji16][emoji16] Asante sanaPole mkuu
Tatzo ni kuwa,,baada ya kupata yale mafanikio,,wachezaj wao wale wote waliotamba vilabu mbalimbali ulaya vikawasajiri..watu kama benardo silva,killian mbape,mendy,bakayoko,thomas lemar,kuna jamaa mwingine yupo liverpool pia alitoka monaco,,,Wana hali mbaya sana mzee sijui shida ni nini na wanao wachezaji wazuri tu, wamechana sana majamvi yangu hawa maboya
[emoji4][emoji4][emoji4]
Ndio,,,alifanya na skywalkerSijui bro ila kunasememu nilipita mtandaoni nikaona taarifa inasema balozi atua bongo kwenye msiba ila sikuifatilia..
Alivyokuja kuna interview yeyote aliyofanya?
Mashabiki wa liver sio wavumilivu wakiongozwa na mzee wa liver,mechi moja tu tayar washadondosha lawama kwa kochaAah! jamani adi droo nachekwa siku hizi? Wewe una masihara na mashabiki wa Liverpool sasa sio bure [emoji16]...
Nipo mumyLo kwema?
Duh kweli bro nilisahau hao mafundi ata kama walitoka Monaco na niwengi kweli hapo lazima mtikisiko utokee yani timu ilikua vizuri na ndio ilikua timu ya Kumchallenge PSG ila wamefanya uzembe sana kutofanya replacement ya majembe walioyatoa...Tatzo ni kuwa,,baada ya kupata yale mafanikio,,wachezaj wao wale wote waliotamba vilabu mbalimbali ulaya vikawasajiri..watu kama benardo silva,killian mbape,mendy,bakayoko,thomas lemar,kuna jamaa mwingine yupo liverpool pia alitoka monaco,,,
Automatic kuondoka kwa nyota wale hlf hakuna replacement yoyote,kwan baada ya kuuza hawakusajr,,wakatoa wachezaj wengine timu B then wakawapandsha timu ya wakubwa,matatzo hapo ndipo yalipoanza hadi wametimua kocha wao..