[emoji16][emoji16] nimeshangaa sana jana wanavyolalamika yani utafikiri sio wale wanaofurahia timu na kocha wao kila siku...Mashabiki wa liver sio wavumilivu wakiongozwa na mzee wa liver,mechi moja tu tayar washadondosha lawama kwa kocha
Duuh kweli ngoja nimsikizeNdio,,,alifanya na skywalker
Hayo ya Akina Trump yaache. Hawana jipya hawa. Noeli bila michembe na maziwa ya mgando haiendi mbona? Tutakutana Gold Crest basi. Blessings [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Ngoja tuone bro.Duh kweli bro nilisahau hao mafundi ata kama walitoka Monaco na niwengi kweli hapo lazima mtikisiko utokee yani timu ilikua vizuri na ndio ilikua timu ya Kumchallenge PSG ila wamefanya uzembe sana kutofanya replacement ya majembe walioyatoa...
Henry nae sasa kachukua timu mbovu itamuumiza kichwa tu
Safi, enjoy your day.Me buheri wa afyaa