Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kutupotezea muda tu !!!
446327902_427934.jpeg
 
USHOGA[emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji724][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji724]

Hakuna Azaliwaye Shoga

Mwenyezi Mungu aliumba mwanamke na mwanaume. Ushoga unatokana na lifestyle na malezi.

1. Wapo wanaoiga due to globalised world as fashion

2. Kulaza watoto na uncles chumba kimoja , unakuta mtoto anafanyishwa hio michezo ktk umri mdogo pasipo mzazi kujua ,ataendelea nayo till then yaani atazoea na kuona kawaida

3. Watoto wanaolelewa na wazazi mashoga na yy ni rahisi kwake kuadopt. (Mostly adapted kids)

4. Watoto hupelekwa shule boarding schools wakiwa wadogo sana , hukutana na waliozoea hii michezo na hufundisha wenzao

5. Shule za jinsia moja pia sio nzuri ktk umri mdogo bila sababu ya msingi , ikiwezekana tutafute mbadala wa kutatua yale yapelekeayo kupelekwa boarding, mostly watoto wazaliwao nje ya ndoa ndio hupelekwa boarding schools kuepusha malumbano katika familia, au changamoto za wasaidizi wa ndani. Maana kupata wasaidizi nao ni issue.
So tutafute njia mbadala

6. Single parenting imekuwa issue mtoto wa kiume kila slipozungukwa kuna mama, auntie, beki tatu haoni jinsia ya kiume humpelekea kuact kikike sasa akikutana na wale waliobobea it will be another story.

7. Mtoto wa kiume apewi kazi yupoyupo tu, mzazi mpe mwanao kazi awe strong hasa wale wanao lelewa na mama tu wapo hatarini

8. Wazazi tumekuwa wakali, tumekuwa busy na social media, na kazi hatuna ukaribu na watoto wetu kuwajengea upendo na confidence on them, hii hupelekea mtoto kuwa na fear ,coz shuleni kuna watoto watukutu walio bobea haya mambo na kuwafanya wenzao kinguvu ss mtoto akiwa mpole hatosema popote na wewe upo bize itakuwa late for you.

9. Nchi nyingine zimehalalishwa na hupewa support so mtoto anazaliwa anakuwa akijua its a normal thing.

10. Entrertaining wageni nyumbani kwako wasio na shughuli za msingi.
Mgeni wa kiume unamlaza na mtoto wako wa kiume, sababu huwezi jua undani wa huyo mtu, tabia zake n.k
Anakuja aje na sababu na kama huna vyumba vya kutosha na unao uwezo kifedha mpangie lodge . Ohh frank utalala na mjomba wako tuache hizo.

11. Wazazi tuwaweke watoto wetu karibu na Mungu, tuwaombee na tuwafundishe maandiko kwa imani yako.
Tuwape kazi, wafanye michezo mbalimbali football, basketball kuwa active sio mtoto wa kiume amelegealegea

12. Tuwaonyeshe upendo na kuwa karibu nao watoto wa karne hii ni tofauti na sie wa enzi za mwalimu. Wamezungukwa na technology na minds zao zipo so fast and active at an early stage.

13. Mfundishe mwanao ukakamavu sio kila siku yy ndio anaonewa shuleni, akifinywa na yeye afinye, amepigwa na yeye apige, kumuanza mtu ugomvi ndio kosa. Mtu akimgusa Kalio au tako ampe za uso au atoe taarifa kwa mwalimu au mtu aliye karibu nae

14. Kuna watoto wanaoonekana kupenda vitu vya kike mfano mavazi from the scratch. Mkanye na umfundishe yy ni mwanaume, sio unakenua eti frank bwana anapenda kuvaa nguo za dada yake wewe

[emoji848]TAFAKARI

15. Wazazi tuache aibu katika kuwafundisha watoto, tuwaeleze ukweli, ushoga nini, hautakiwi, ni dhambi na madhara yake.
Watoto wanahitaji kusikia ukweli

[emoji1666][emoji1666][emoji1666][emoji1666]
 
Neno walahi
 
Nakumbuka kuna mahali nilikuwa naishi,kuna katoto kalikuwa kana ambarutiwa na anko wake.
Kale katoto kalikuwa kadogo sana,sidhani hata kama kaliwahi kwenda shule.
Hizi nyumba za vyumba viwili ni mtihani kwakweli.
 
Back
Top Bottom