Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwa kweli Kane amethibitisha umuhimu wake kama nahodha, ametimiza wajibu wake kwa kiwango cha juu kabisa, alipofunga bao la kwanza aliitoa timu katika matatizo na bao lake la ushindi limefrudisha matumaini upya, ninampongeza kwa kuwa mfano bora,” alisema.
 
Kocha mpya wa Monaco ya Ufaransa, Thierry Henry, ni kama ameanza kazi hiyo kwa mikosi baada ya jana timu hiyo kung’olewa katika Ligi ya Mabingwa Ulaya.

Monaco ikiwa nyumbani ilibugizwa mabao 4-0 na Club Bruges ya Ubelgiji, kipigo kilichoifanya kuburuza mkia katika kundi A ikiwa na pointi moja.
 
Timu hiyo imekuwa ya kwanza kutupwa nje ya kinyang’anyiro cha ubingwa huo kwani hata ikishinda mechi mbili zilizobaki itafikisha pointi saba ambazo zimeshavukwa na Borussia Dortmund ya Ujeruman I na Atletico Madrid ya Hispania.

Akizungumza baada ya kipigo hicho Henry ambaye bado hajaonja ladha ya ushindi katika mechi tano alizoiongoza timu hiyo iliyomkuza kisoka, alikiri kupitia kipindi kigumu.
 
Henry ambaye aliletwa ili kuokoa jahazi baada ya timu kuuanza msimu huu vibaya ameshuhudia ikifikisha michezo 15 mfululizo ya michuano mbali mbali bila kushinda.

“Nasikitika kwamba bado sijafanikiwa kuleta mabadiliko yaliyokusudiwa hapa Monaco, tu8mepoteza mchezo muhimu wa nyumbani lakini nadhani hii ni changamoto kwetu,” alisema Henry.
 
Mbaya zaidi sio tu kwamba umekosa nafasi hiyo kushuhudia bao la mapema, pia unakuta kwamba mtu aliyekaa kiti chako cha jirani anazungumzia kuwa hilo ndio bao kali la msimu. Ukitafakari unagudundua kuwa umekosa kushuhudia matukio hayo muhimu kwa sababu tu, ulikuwa chooni kukojoa.
 
Lakini hayo yote yanaelekea kuwa na kikomo kwa mashabiki wa klabu ya Real Madrid ambapo, kwenye uwanja wao wa Bernabeu zimeweka runinga kwenye vyoo ili kuhakikisha watu hawapitwi na kila tukio linaloendelea uwanjani.
 
Iwapo itatokea shabiki alikwenda kukojoa na bao likawa limefungwa, basi runinga hiyo itamuwezesha shabiki kutokuwa na haraka kutoka chooni. Hivyo ataweza kuona marudio wakati bao likifungwa wakati akiendelea kupata huduma yake chooni.
 
Huduma hiyo ambayo tayari inapatikana kwenye klabu ya Leganes, lakini inaonekana imetanuka zaidi na hivi karibuni mashabiki wa Tottenham watakuwa miongoni mwa watu watakaofaidi teknolojia hiyo mpya.
 
Back
Top Bottom