Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Queen of ambition my favKorean dramas tamu sana
Kwa iyo tusioe auNdoa nazo zimekuwa zinawanyima watu wengi furaha, tafuta tatizo fanyia kazi then endelea mbele na maisha yako ya kila siku.
Nilifikiri wamefungiwa kukipiga duh !!!
Hapana bro,,ni suala zima la usajiri,kama walivyoifungia Atletico Madrid msimu uliopitaNilifikiri wamefungiwa kukipiga duh !!!
Mom is full of wisdom.
Huwa najiulizaga sana: kwa nini kwa wenzetu hawa viongozi kuwajibika ni rahisi sana? Yaani kakosa kadogo tu mtu keshaachia ngazi tena mwenyewe bila kuombwa na mtu. Huku kwetu Afrika mtu hata afanye madudu gani kamwe hawezi kujiuzulu labda atimuliwe; napo ni kwa mbinde na kubembelezana sana. Kwa nini?
Mama zetu yaani acha tu bro. Hapo utakuta kumbe anapenda keki balaa na amejinyima tu ili wanae wale. God bless all our mothers [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Mom is full of wisdom.
Hata kula keki nikujilisha upepo.
Sijaiona hio ila ntaitafuta mbeleniQueen of ambition my fav
Morning bradhahahahahha, under 18 utawajua tuu😀😀