HahahahaMwenyewe lugha yake anaelewa wewe Toa likes Pata likes...
DuhHata instagram Sawa Tu Toa likes Pata likes...
Dikteta lazima ataua tu. Hivi ikiwa wale wanaodhaniwa kuwa angalau wana viashiria vya kiutu, kuruhusu uhuru wa kusema na kuruhusu demokrasia, hao nao wakiwa madarakani hutuhumiwa kuua kwa kile kinachosemekana kulinda nchi zao/ tawala zao. inakuwaje kwa madikteta wanaoingia madarakani kwa mkono wa chuma na pia kutawala nchi zao kwa mkono wa chuma? Madikteta tuliojaaliwa kuwapata hapa Afrika wote walikuwa wauwaji. Seseseko wazabanga, Sani Abacha, Mengistu Haile Mariam, Idi Amini, Jeen Badel Bokassa nk. Hata wa nje ya Afrika kama Hitler, Mohammed Suharto, Mohammed Zia Ulihaq, Ferdinand Marcos nk, hao pia walipenda sana michezo hiyo. Dikteta ni dikteta tuNa kwa nchi za Afrika hizi mi nasema hata madikteta kama Idd Amin watawale sawa tu
Ali mradi wasiue watu na wahakikishe maendeleo yanapatikana.
Demokrasia hii ya Wamarekani hii wala hatuielewi na kusema kweli haijatusaidia lolote.
Imegeuka mtindo tu wa kupigania madaraka lakini kimsingi mambo ni yale yale!!!
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Aaaa wapi! Si ajabu yuko kwa sonara ananunua pete za ndoa. Hakuna mabinti wapya waliokwishajitokeza humu? Mpe muda na akiingia humu utasikia tu fujo zake. Tena alisema leo anakuja na nadharia mpya ya kunasia totoz...
Umenikumbusha zama zao..Dikteta lazima ataua tu. Hivi ikiwa wale wanaodhaniwa kuwa angalau wana viashiria vya kiutu, kuruhusu uhuru wa kusema na kuruhusu demokrasia, hao nao wakiwa madarakani hutuhumiwa kuua kwa kile kinachosemekana kulinda nchi zao/ tawala zao. inakuwaje kwa madikteta wanaoingia madarakani kwa mkono wa chuma na pia kutawala nchi zao kwa mkono wa chuma? Madikteta tuliojaaliwa kuwapata hapa Afrika wote walikuwa wauwaji. Seseseko wazabanga, Sani Abacha, Mengistu Haile Mariam, Idi Amini, Jeen Badel Bokassa nk. Hata wa nje ya Afrika kama Hitler, Mohammed Suharto, Mohammed Zia Ulihaq, Ferdinand Marcos nk, hao pia walipenda sana michezo hiyo. Dikteta ni dikteta tu
Mwenye Enzi Mungu atuepushe na hiyo hali nchini kwetu TANZANIA milele yoteDikteta lazima ataua tu. Hivi ikiwa wale wanaodhaniwa kuwa angalau wana viashiria vya kiutu, kuruhusu uhuru wa kusema na kuruhusu demokrasia, hao nao wakiwa madarakani hutuhumiwa kuua kwa kile kinachosemekana kulinda nchi zao/ tawala zao. inakuwaje kwa madikteta wanaoingia madarakani kwa mkono wa chuma na pia kutawala nchi zao kwa mkono wa chuma? Madikteta tuliojaaliwa kuwapata hapa Afrika wote walikuwa wauwaji. Seseseko wazabanga, Sani Abacha, Mengistu Haile Mariam, Idi Amini, Jeen Badel Bokassa nk. Hata wa nje ya Afrika kama Hitler, Mohammed Suharto, Mohammed Zia Ulihaq, Ferdinand Marcos nk, hao pia walipenda sana michezo hiyo. Dikteta ni dikteta tu
Do i sound rude...??? Ur opinions mattersHahahaha
Nenda page one, ukampe like jembekillo kisha rudi ulipoishiaMnikumbushe page ya ngapi natakiwa nianzie kulike
NefetitiCleopatra..
Hahahaha
Toa likes Pata likes nimesoma kidogo...Dikteta lazima ataua tu. Hivi ikiwa wale wanaodhaniwa kuwa angalau wana viashiria vya kiutu, kuruhusu uhuru wa kusema na kuruhusu demokrasia, hao nao wakiwa madarakani hutuhumiwa kuua kwa kile kinachosemekana kulinda nchi zao/ tawala zao. inakuwaje kwa madikteta wanaoingia madarakani kwa mkono wa chuma na pia kutawala nchi zao kwa mkono wa chuma? Madikteta tuliojaaliwa kuwapata hapa Afrika wote walikuwa wauwaji. Seseseko wazabanga, Sani Abacha, Mengistu Haile Mariam, Idi Amini, Jeen Badel Bokassa nk. Hata wa nje ya Afrika kama Hitler, Mohammed Suharto, Mohammed Zia Ulihaq, Ferdinand Marcos nk, hao pia walipenda sana michezo hiyo. Dikteta ni dikteta tu
NEFETITINefetiti