Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mangi mmoja mtaani kwetu alipopokea bill ya Maji ya mwezi December 2018 iliyokuwa T.SHS 300,000, akawapigia DAWASCO huku akifoka. Aisee "NAONA BILL YA YALE MAFURIKO NIMELETEWA MIMI".
 
Leo Kwenye Basi Kuna Wadada Wawili Walikua Wanagombaniana Seat Moja, Dereva Kwa Hasira akasema "Mwenye sura mbaya ndo akalie hiyo Seat" Yani mpaka tunafika Wote Wawili Walikua Wamesimama. Kuna Madereva Wana Hekima Kama Mfalme Solomon πŸ˜€πŸ˜‚πŸ˜‚```
 
Sehemu za siri walikua nazo wazee Wa zamani, sisi tuna sehemu za utalii, kwa sababu wameona zaidi ya watu 10πŸ˜‚πŸ˜€πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Nakuona unahesabu wameona wangapi haha haha na si kuona tu hadi kushika....
 
Mzee kaingia pharmacy, MZEE: Mambo mwanangu, kuna kitu naomba uonje nitakulipa MFAMASIA: Kitu gani?….Mzee akatoa kichupa na kijiko akaweka …majimaji yaliyomo kwenye kichupa kwenye kijiko na kumwambia mfamasia aonje, mfamasia akatia yale maji mdomoni na kuyazungusha zungusha mdomoni akionja; MZEE: Nipe jibu, ina utamu wa sukari au chumvi au pilipili? MFAMASIA: Kama chumvichumvi MZEE: Hakuna sukari MFAMASIA: Sukari hakuna kabisa MZEE: Loh asante chukua hii alfu tano nashukuru sana, dokta alinambia nipime mkojo wangu kama nina kisukari, kumbe sina asante bwana mdogo
 
Sehemu za siri walikua nazo wazee Wa zamani, sisi tuna sehemu za utalii, kwa sababu wameona zaidi ya watu 10[emoji23][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23] Nakuona unahesabu wameona wangapi haha haha na si kuona tu hadi kushika....

Hata vijana wa sasa, WAGUMU kama sisi bado sehemu zao ni za siri! Ni suala la msimamo tu katika maisha! [emoji1][emoji1][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…