myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mtu yoyote aliyepiga kura 2015 akachagua maisha haya mkimwona anataka kujinyonga mkamateni mumfikishe polisi asitufanye sisi wajinga eti sisi tubaki halafu yeye afe ayakimbie....nooooo![emoji23][emoji23][emoji23]
Duh!!!Mume anamuonya mkewe: Haya mambo ya kubadilisha wadada wa kazi kila mara utakuja kutuuwa na magonjwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli...NUKSI NI NINI??[emoji23] NUKSI NI PALE UMEAGA KIJIJINI KWENU KUWA UNAENDA MJINI KUISHI KWA DADA YAKO NA UTAKAA MIAKA MINNE ILE TU UNAFIKA UNAMKUTA DADA YAKO NDO ANAFUNGASHIWA VYAKE HATIMAE UNARUDI NAE KIJIJINI
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]*Wanaposema "KILA MWANAUME" Aliyefanikiwa Kuna mwanamke nyuma yake* [emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41] *Maana yake ni MAMA YAKE MZAZI anayemuombea dua*
Majina ya kukwepa kuitikia Msimu huu wa krismasi na Mwaka Mpya: Ukisikia mtu kakuita hivi, usiitike na usijaribu ku-smile hata kidogo, utakuja kinishukuru baadae!! 1. Mkubwa 2. Tajiri wangu 3. Boss wangu 4. Kiongozi 5. Mkurugenzi 6. Manager 7. Chief 8. Brigedia General 9. Honey 10. Dear nikuambie kitu..? 11.Mutu Ya Nguvuu 12.Mzee 13.Patroo 14. Kaka mukubwaaaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Bro Kimbia tena kama hiyo 9 na 10 usigeuke hata nyuma!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hiyo namba 10 akiitamka wewe jifanye hujaisikia kabisaaa! [emoji1][emoji1][emoji1]