Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Furaha kama yote
Utoto raha sana !!!Furaha kama yote
Ha ha ha kwako itabd iwe hvyo nyogezaBagesh ya tatu nyongeza
Ukipata ya telenovela nishtue kijana handsome ee
Poa Bro wala sikunyanyasi, namshukuru sana mtekaji kwa niaba ya Wadau wa uzi huu.Siyo wewe unayenipa. Mtekaji ndiye ananipa bro. Siku zako za kuninyanyasa ziko ukingoni [emoji16][emoji16][emoji16]
Hahahahahhaa eti sura private jamanHa ha ha kwako itabd iwe hvyo nyogeza
Telenovela ndio zile soap,mambo ya telemundo,
Mimi ni wale wenye sura private,ya kumnyamazishia mtt akilia
Unafikiri kuona hoja halafu ukawa na pointi kinzani zilizoshiba lakini ukaogopa kwa sababu kifaa unachotumia hakikubaliki na mleta hoja siyo mateso?Poa Bro wala sikunyanyasi, namshukuru sana mtekaji kwa niaba ya Wadau wa uzi huu.
Ha ha ha poa poa numby,,nikipata ntakuchekiaHahahahahhaa eti sura private jaman
Ee hizo hizo za akina juan miguel,marichui,marimar,anjelo etc
Rangi tulivu....
Kizazi kipya..