Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Too much hate sasa imekua,ni machaguzi tu ya simu hayana uhusiano Na mtumiaji.

Me natumia iPhone na sijishaui.

[emoji853][emoji853][emoji853][emoji853][emoji853][emoji853][emoji853]
Tunataniana tu jamani. Mtu asije akakwazika please. Na utani wangu na capitalpool ni wa muda mrefu na anajua hivyo. Huwa namchokozaga tu naye anaplay along ...
 
Too much hate sasa imekua,ni machaguzi tu ya simu hayana uhusiano Na mtumiaji.

Me natumia iPhone na sijishaui.

[emoji853][emoji853][emoji853][emoji853][emoji853][emoji853][emoji853]
Samahan kama umenielewa vibaya ndugu yangu,,sipo hapa kwa ajiri ya kumhate mtu

Hilo andiko la chini hapo nimelielewa vzr sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…