Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
Ha ha ha kweli kabsa broUzi huu siku hizi ni kama landmine na siyo rahisi tena kuparamia watu na maswali ya ajabu ajabu tena unless kama mmezoeana bro...Hata kama mmezoeana napo tahadhari inatakiwa kwa sababu huwezi jua siku hiyo mtu kaamkaje. Waweza jikuta kwenye povu hevi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]