Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

techthesis_47584852_2011448148914647_2489148719859796638_n.jpg


This is APPLE!!!
 
Uzi unaeleza namna China ilivyo ua soko la iPhone uChina, njia zilizotumika kuua ni za kipuuzi tuu na si mapinduzi ya technolojia!

Hicho wanafanya China na baadhi ya member hapa JF na Twitter ndiyo nisicho kipenda mimi, ni chuki/wivu kwa watumiaji wa iOS.

iPhone imekuwa simu bora zaidi Duniani kwa muda mrefu kwa sababu za kitechnolojia si propaganda!

China ije na Technolojia bora zaidi ili tununue bidhaa zao kwa kigezo cha ubora sio huu ujinga wa kuwatukana wanatumiaji wa iPhone.

Mbona S.Korea (Samsung) walishindana kitechnolojia.?

Akili ya Mchina kuua soko la iPhone Uchina

View attachment 973336
Ushindani wa kibiashara ni pamoja na propaganda bro. Ukishinda vita vya kisaikolojia basi unakuwa umeshinda hata vita vya soko na kiuchumi. Ndivyo wazungu walichotufanyia Waafrika japo kwa kiwango kingine...

Usije kushangaa tafiti uchwara zikachapishwa kudai kuwa watumiaji wengi wa iPhone ni konki konki master ili kuwatisha vijana huko kwao. Wachina ni tatizo. Kushindana fair and square hawawezi wao ni kuiba tekinolojia za wenzao tu...

Ila nanyi watumiaji wa iPhones mmezidi kujigamba [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji1734][emoji1734][emoji1734]
 
Back
Top Bottom