Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Ingawa kwa sasa ndiye tegemeo la idara ya kiungo ndani ya Man City tangu kuondoka kwa Yaya Toure, lakini Fernandinho mwenye miaka 33 anaelekea ukingoni na Guardiola anamuona Aouar anafaa kuchukua nafasi hiyo.
Guardiola alimfagilia chipukizi huyo baada ya kumalizika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya ambao ulimalizika kwa timu hizo kufungana mabao 2-2 na baada ya mchezo alimpongeza Aouar.
Guardiola alimfagilia chipukizi huyo baada ya kumalizika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya ambao ulimalizika kwa timu hizo kufungana mabao 2-2 na baada ya mchezo alimpongeza Aouar.